Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia
ya Habari Mhe. Nape Nnauye wa pili kutoka kulia kwenye picha ya kumbukumbu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya
Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania PLC Bw. Philip Besiimire pamoja na Mkurugenzi wa Uhusiano na
Mawasiliano wa Kampuni hiyo Bi. Zuweina Farah Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
11 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya
Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya mazungumzo yao Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya
Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu
Jijini Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake tarehe 11 Agosti, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya
Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya
Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini
Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake tarehe 11 Agosti, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...