Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda akizungumza na Viongozi mbalimbali wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Kamisaa wa Sensa, Tanzania Bara Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda, Kamisaa wa Sensa, Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Hamza pamoja na Watakwimu mara baada ya kupokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...