Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023. Mhe. Rais Samia aliwaandalia Madaktari hao wanaotoa huduma ya upasuaji katika Hospitali ya Selian Lutheran Mkoani Arusha Chakula cha mchana kuwashukuru kwa moyo wao wa kujitolea kuwasaidia Watanzania katika sekta hiyo ya Afya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria hafla ya Chakula cha mchana kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani, Tanzania pamoja na wageni wengine wakiwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya hafla ya Chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru kutokana na mchango wao kwa jamii tarehe 13 Agosti, 2023

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Operation Walk USA Paul Gilbert akizungumza kwenye hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, viongozi wengine wa Serikali kwenye picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia picha za Wanafunzi wa Shule ya St. Lucky Vincent waliopata ajali tarehe 06 Mei, 2007 kutoka kwenye simu ya mmoja ya Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani Kevin Negaard, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...