RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akiwa katika eneo la Kituo cha mradi huo leo 27-8-2023 na (kulia kwa Rais) Meneja wa Mradi Xiong Yunxu na Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akizungumza akiwa katika eneo la mradi huo leo 27-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed  na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Kituo cha Ujenzi wa Barabara ya Juu (Flyover) Amani akiwa katika ziara yake kukagua hatu ya ujenzi wa Mradi huo leo 27-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...