Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye kufunga Kongamano la siku mbili la vijana ambalo limewakutanisha vijana wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma, katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Agosti 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono Msanii mwenye ulemavu wa macho Joseph Hosea (kulia), kwenye kufunga Kongamano la siku mbili la vijana ambalo limewakutanisha vijana wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma, katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Agosti 08, 2023. Wapili kushoto ni Msanii Grace Maneno na wapili kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia bidhaa tofauti tofauti zilizotengenezwa na vijana waliyonufaika na mkopo ya asilimia 10 ya Halmashauri, kwenye kufunga Kongamano la siku mbili la vijana ambalo limewakutanisha vijana wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma, katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Agosti 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mapambo na Kijana Dinna Charles, ambayo yanayotengenezwa na mfuko wa Tanzania Health Awareness and Support Foundation, kwenye kufunga Kongamano la siku mbili la vijana ambalo limewakutanisha vijana wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma, katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Agosti 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa bidhaa ya gypsum na Meneja wa Taasisi ya Goldel Deco Idd Abas, inayozaliza bidhaa hizo, kwenye kufunga Kongamano la siku mbili la vijana ambalo limewakutanisha vijana wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma, katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Agosti 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, kwenye kufunga Kongamano la siku mbili la vijana ambalo limewakutanisha vijana wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma, katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Agosti 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...