Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda ambayo ilikuwa ikiendesha shughuli zake katika jengo la Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha. Wengine pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi AICC, Balozi Daniel Ole Njolay na kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa AICC, Bw. Ephraim Mafuru
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...