Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Salehe Mwinchete akimpima jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiograph – ECHO) mkazi wa Geita wakati wa maonesho ya sita ya kimataifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya EPZA Bombambili mkoani Geita. JKCI inatoa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo, Sukari kwenye damu na shinikizo la damu katika maonesho hayo.

Wananchi wa Mkoa wa Geita na mikoa ya jirani wakiendelea kupata huduma katika banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa maonesho ya sita ya kimataifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya EPZA Bombambili mkoani Geita. JKCI inatoa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo, Sukari kwenye damu na shinikizo la damu katika maonesho hayo.

Picha na: JKCI


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...