Na John Walter-Manyara
Vituo vingi mkoani Manyara havitoi huduma kutokana na ukosefu wa mafuta huku kukishuhudiwa foleni Kubwa ya magari,pikipiki na bajaji kwenye kituo kimoja mjini Babati.
Mjini Babati baadhi ya watu walionekana wakijaza mafuta wakiyatia ndani ya chupa za maji na madumu.
Katika wilaya ya Hanang', Katesh ni Kituo kimoja pekee kilikuwa kinatoa huduma Septemba 4.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...