Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa ZEEA Ndg.Juma Burhani Mohamed katika hafla ya maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi hiyo iliyochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Taasisi ya ZEEA sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 25 Sept 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...