Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati akikagua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kwenye Kioo cha kwanza kutengenezwa katika Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kama kumbukumbu mara baada ya kuzindua Kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...