Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Jijini Dar es Salaam

Viongozi mbalimbali pamoja na wadau wa Kilimo wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 07 Septemba, 2023.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...