STAA wa muziki kutoka Nigeria Teniola Apata maarufu kama Teni The Entertainer amerudi kwa kishindo msimu huu wa majira ya joto kwa kuachia Wimbo uitwao 'Lanke' ambao umetayarishwa na Blaisebeatz ambaye ni mshindi wa tuzo nchini humo.

Ngoma hiyo ya Lanke ni ina midundo ya Afropop, iliyofanywa kwa ustadi mkubwa sana.Na video yake imetengezwa kwa mandhari nzuri ya kiangazi.

Teni ambaye hapo awali alitoa ngoma ya No Days Off mapema mwaka huu na msanii wa Marekani, Dojacat pamoja na Cheekychizzy. anajiandaa kudondosha kazi yake kubwa mwaka huu.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...