Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko walipokutana ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma  kwa kikao kazi, Septemba 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko katika kikao kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 6, 2023. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...