Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi kwa Mwaka 2023 yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, Septemba 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi kwa Mwaka 2023 wakisikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, Septemba 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kionesha tuzo ya kutambua mchango wake wa kuendeleza taaluma ya uhandisi aliyopewa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi kwa Mwaka 2023 yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, Septemba 14, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi, Mhandisi Menye David Manga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Wahandisi mahili waliosajilwa hivi karibuni na Bodi ya Usajili wa Wahandisi wakila kiapo cha uaminifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi kwa Mwaka 2023 yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, Septemba 14, 2023. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho hayo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...