Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na Rais naOfisa  Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Japan Tobacco Group (JT Group), Masamichi Terabatake (kulia) wakitia saini  mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya  Tumbaku ya Japan (JT Group) utakaoiwezesha  kampuni hiyo kuendelea  kutoa huduma  za kijamii katika maeneo inayonunua tumbaku nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Septemba 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Japan Tobacco Group (JT Group), Masamichi Terabatake (kulia) wakionesha nyaraka baada ya kutia saini  mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya  Tumbaku ya Japan (JT Group) utakaoiwezesha  kampuni hiyo kuendelea  kutoa huduma  za kijamii katika maeneo inayonunua tumbaku nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Septemba 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Tumbaku ya Japan Tobacco Group (JT Group), Masamichi Terabatake , baada ya kushuhudia utiaji saini mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya  Tumbaku ya Japan (JT Group) utakaoiwezesha  kampuni hiyo kuendelea  kutoa huduma  za kijamii katika maeneo inayonunua tumbaku nchini. Utiaji saini huo ulifanyika  kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Septemba 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja  na viongozi  baada ya kushuhudia utiaji saini mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya  Tumbaku ya Japan (JT Group) utakaoiwezesha  kampuni hiyo kuendelea  kutoa huduma  za kijamii katika maeneo inayonunua tumbaku nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, September 11, 2023. Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI (Afya), Dkt. Wilson Charles, Balozi wa Japan nchini, Yusushi Misawa, Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JT Group, Masamichi Terabatake na kulia ni Naibu Waziri TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...