Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya India Mhe. Dkt. Subrahmanyam Jaishankar aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya kuwasili New Delhi kwa ajili ya ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje ya India Mhe. Dkt. Subrahmanyam Jaishankar mara baada ya mazungumzo New Delhi nchini humo tarehe 08 Oktoba, 2023. Wengine pichani ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. Anisa Mbega wa kwanza kulia.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...