Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza katika Kikao na ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa
ya Power Holding kuhusu maeneo mbalimbali ya Uwekezaji nchini Tanzania. Kikao
hicho kilifanyika katika Ofisi za Kampuni hiyo inayojihusisha na masuala kadhaa
ikiwemo Ujenzi, Kilimo na Utalii, Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza katika Kikao na ujumbe wa Kampuni ya
Kimataifa ya Power Holding inayojihusisha na masuala kadhaa ikiwemo Ujenzi,
Kilimo na Utalii kuhusu maeneo mbalimbali ya Uwekezaji nchini Tanzania. Kikao
hicho kilifanyika katika Ofisi za Kampuni hiyo zilizopo Doha nchini Qatar
tarehe 03 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifuatilia mawasilisho yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya Power Holding kuhusu Uwekezaji wanaoufanya katika maeneo mbalimbali Duniani, Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakifuatilia mawasilisho yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya Power Holding kuhusu Uwekezaji wanaoufanya katika maeneo mbalimbali Duniani, Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakifuatilia mawasilisho yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya Power Holding kuhusu Uwekezaji wanaoufanya katika maeneo mbalimbali Duniani, Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Gilead Teri akizungumza kuhusu fursa mbalimbali za Uwekezaji zilizopo nchini Tanzania kwenye kikao pamoja na viongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya Power Holding kilichofanyika Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...