Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (kushoto) mara alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa kongamano la siku mbili la kumuenzi maalim Seif. Picha na ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, mhe. Othman Masoud Othman, akisalimiana na Bwana Mmusi Maimane (kulia) ambaye ni Kiongozi wa Chama cha upinzani cha Afrika Kusini mara Mhe. Othman alipowasili katika hoteli ya golden Tulip kiembesamaki kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la siku mbili la kumuenzi marehemu maalim Seif. Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.


MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, mhe. Othman Masoud Othman, akihutubia kufunua kongamano la siku mbili la kumuenzi marehemu maalim seif sharif amad huko katika hoteli ya golden Tulip kiembesamaki Zanzibar leo tarehe 25.11.2023. Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.


Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,( kulia) akisalimiana na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui alipowasili huko hoteli ya Golden Tulip uwanja wa ndege Zanzibar kuhudhuria ufunguzi wa kongamano la siku mbili la kumuenzi marehemu maalim seif (katikati) ni mjane wa marehemu Maalim Seif Mama Awena sinani Masoud. Picha na Ofisi ya Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...