Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindui pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Kamati ya UWT ya Uratibu wa Sherehe za miaka mitatu ya Uongozi wake walipofika kumshukuru Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 21/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindui pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamati ya UWT ya Uratibu wa Sherehe za miaka mitatu ya Uongozi wake (hawapo pichani) walipofika kumshukuru Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 21/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindui pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya UWT ya Uratibu wa Sherehe za miaka mitatu ya Uongozi wake walipofika kumshukuru Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 21/11/2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...