Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Mhe. Dkt Tulia Ackson, akiwa amepakatwa na Mama yake mzazi Bi. Nkundwe Mbonile akimpongeza kwa ushindi wa Urais wa IPU baada ya kumtembelea nyumbani kwake Rungwe Mkoani Mbeya leo tarehe 12 Novemba, 2023.PICHA NA OFISI YA BUNGE



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...