Katibu Tawala Msaidizi Uchumj na Uzalishaji Mkoa wa Dar es Salaam Elizabeth Mshote akigawa maziwa kwa mmoja ya wanafunzi kuashiria uzinduzi rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata lishe bora kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzania
Katibu Tawala Msaidizi Uchumj na Uzalishaji Mkoa wa Dar es Salaam Elizabeth Mshote akizungumza wakati wa Uzinduzi Rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh amesema serikali inaendele kutekeleza mpango wa unywaji maziwa shuleni kwa lengo la kuhakikisha afya za watoto zinaendelea kuimarika kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzaniaMwandamizi kutoka shirika la Viwango Tanzania TBS Stephen Rwabunywenge akizungumza wakati wa Uzinduzi Rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata lishe bora Amesena kuwa kama shirika la Viwango Tanzania tunahakikisha Kila bidhaa mpya inayoingia sokoni lazima tuikague nakuipa kibali
Mkuu wa Miradi kutoka shirika lisilo la kiserikali la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) Dk. Winfrida Mayilla akizungumza wakati wa Uzinduzi Rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni Uzinduzi huo upo chini ya Bodi ya maziwa kwakushitikiana mashirika ya siyokuea ya kiserikali Global Alliance na Kilimanjaro Fresh Kwa lengo la kuhakikisha wanatekeleza mpango wa unywaji maziwa shuleni kwa lengo la kuhakikisha afya za watoto zinaendelea kuimarika kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzania
Afisa Mauzo na Masoko Shirika la Kilimanjaro Fresh Eulalia marandu akizungumza wakati wa Uzinduzi Rasmi wa unywaji wa maziwa pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata lishe bora mashuleni kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzania
Msajili wa Bodi ya Maziwa Nchini George Msalia uzinduzi rasmi wa unywaji wa maziwa mashuleni pamoja na uzinduzi wa bidhaa mpya ya MTINDI LAINI ULIONGEZWA VIRUTUBISHI ulioandaliwa na Shirika la Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) kwa kushirikiana na Kilimanjaro fresh ili kuhakikisha kuwa watoto wanapata lishe bora kwakununua maziwa hayo kwa bei ya shilingi mia tano yakitanzaniaMichuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...