ZAWADI zitafunguliwa kibabe leo chini ya udhamini mkubwa wa mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ambao watahakikisha wateja wao wanafungua zawadi leo kwa shangwe la aina yake.

Katika kuhakikisha wateja wao hawafungui zawadi kinyonge Meridianbet wametoa ODDS KUBWA katika michezo ambayo itakwenda kupigwa katika ligi kuu ya Uingereza, Hivo Mteja wa Meridianbet anapewa nafasi kubwa ya kufungua zawadi kibabe kwa kupiga mkwanja na Meridianbet.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Newcastle baada ya kupoteza mchezo siku ya Jumamosi dhidi ya Luton Town leo watakua nyumbani katika dimba la St. James Park kuhakikisha wanarudi kwenye njia ya ushindi wakiikaribisha klabu ya Nottingham Forest.

Liverpool baada ya kubanwa mbavu katika michezo miwili mfululizo kwa kupata sare wakiwa nyumbani leo watasafiri na kwenda ugenini kukipiga na vijana wa kocha Vicent Kompany klabu ya Burnley ambapo watakua wakipambana kuzipata alama tatu muhimu.

Bournamouth wakiwa kwenye fomu nzuri ambapo wametoka kushinda michezo miwili mfululizo na mchezo mmoja ni ule walioitandika Man United mabao matatu kwa bila leo watakua pale Vitality katika uwanja wao wqa nyumbani kuikaribisha klabu ya Fulham.

Manchester United ikiwa haipo kwenye mwenendo mzuri wa matokeo leo wanakwenda kukabiliana na moja ya timu bora kwasasa kwenye ligi kuu ya Uingereza klabu ya Aston Villa, Man United watahitaji kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo katika siku ya Boxing day ambayo imedumu tangu mwaka 2015.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...