Ndugu MUSA Venerable Mziba umri 37 (pichani) ambaye ni mfanyabiashara na anayemiliki kampuni ya Mzibaz Empire Investnents Ltd, ametoweka na hajulikani alipo tangu Desemba 7, 2023 saa mbili usiku, na inadaiwa kuwa mara ya mwisho alikuwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Familia tayari imesharipoti Jeshi la Polisi na kupewa KING/CID/PE 168/2023 Jalada la Uchunguzi 12.12.2023 DYB/RB/7972/2023
Familia ya Mziba inaomba yeyote mwenye taarifa itakayowezesha kumpata ndugu yao awasilishe taarifa kwa Jeshi la Polisi au awasiliane na familia kwa namba 0713437374 au 0683520687.
Mwenyezi Mungu abariki ndugu yetu Musa Mziba Apatikane akiwa salama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...