Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa akitoa tuzo ya Mshindi wa pili ya kiutendaji miongoni mwa taasisi chini ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka 2023 kwa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw, Mussa Mbura wakati uzinduzi wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw, Mussa Mbura akiwasilisha mada kuhusu Mamlaka hiyo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Watumishi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Mussa Mbura alipotembelea Banda hilo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa akisaini kitabu cha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) alipotembelea Banda hilo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Bw, Mussa Mbura kuhusu kazi zinazofanywa na Mamlaka hiyo katika ufunguzi wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango, Usanifu na Uthamini kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Diana Munubi baada ya kutembelea Bando la Mamlaka hiyo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini unaoratibiwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...