Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy leo hii tarehe 14 Disemba 2023 ametunikiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Mahafali hayo yamefanyika katika Uwanja wa Majimaji Songea.

Kwa wanaokumbuka huyu ndiye aliyekuwa ADC (mpambe wa Rais anaesimama nyuma pale) wa JK na JPM kwa muda kabla ya kupanda cheo na kuanza majukumu mengine
Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...