NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV 

KLABU ya Simba leo inaingia uwanjani kukipiga na timu ya Wydad Cassablanca kwenye mchezo wa hatua ya makundi ambapo Simba anakuwa nyumbani huku akihitaji ushindi ili aweze kufufua matumaini ya kufuzu robo fainali kwenye michuano hiyo ya Klabu Bingwa Afrika.

Simba Sc ni mchezo wake wa nne ambapo katika michezo mitatu iliyopita hajashinda hata mechi moja hivyo akitoka sare mbili na kufungwa mechi moja na kufanya kwenye kundi lao kushika mkia.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...