Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu.[Picha na Ikuli] 19/12/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo.[Picha na Ikuli] 19/12/2023.

Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi wakiwa katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikuli] 19/12/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msanii Kirobo mara baada ya igizo lake leo katika Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikuli] 19/12/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. [Picha na Ikuli] 19/12/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar yaliyohudhuriwa na Viongozi na Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali yta Mapinduzi . [Picha na Ikuli] 19/12/2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...