RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-12-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuaga, baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-12-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-12-2023.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...