Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita kulia akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ukumbi wa kufanyia Mitihani Bambi Skuli Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji TASAF Makao Makuu Shadrak Mzirai akitoa salamu na Maelezo ya Mradi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ukumbi wa kufanyia Mitihani Bambi Skuli Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Dk Islamu Seif Salum akitoa taarifa ya kitaalamu katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Ukumbi wa kufanyia Mitihani Bambi Skuli Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...