.jpg)
.jpg)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, akionesha tuzo ambayo Wizara imepata baada ya kuwa mshindi wa kwanza na kufanikiwa kupata Tuzo ya Waandaji bora wa hesabu kwa mwaka wa Fedha ulioishia 30 Juni 2022 katika kundi la Wizara na Idara za Serikali zinazojitegemea. Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA), jijini Dar es salaa
.jpg)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, akiwa katika picha ya Pamoja na na Timu ya uandaaji wa Hesabu za mwisho (Final Account), baada ya Wizara kuwa mshindi wa kwanza na kufanikiwa kupata Tuzo ya Waandaji bora wa hesabu kwa mwaka wa Fedha ulioishia 30 Juni 2022 katika kundi la Wizara na Idara za Serikali zinazojitegemea. Tuzo hizo zimetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA), jijini Dar es salaam.
.jpg)
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...