ANAITWA Robyn Ronald Fenty wengi wanamfahamu kwa jina lake la kisanii Rihanna alizaliwa tarehe 20 Februari 1988, huko Saint Michael, Barbados. Ni binti wa Monica ambaye ni mhasibu, na Ronald Fenty, msimamizi wa ghala. Mama yake ni Mwafrika-Mguyana, wakati baba yake ana asili ya Kiafrika, Kiaislandi, Kiingereza, na Kiskoti.
Rihanna ana ndugu wawili, Rorrey na Rajad Fenty, na dada na kaka wa kambo wawili kutoka upande wa baba yake, kila mmoja akiwa amezaliwa na mama tofauti. Huenda ukawa unajiuliza Rihanna alipata wapi utajiri wake na ikiwa alizaliwa familia ya kawaida sana, kila kitu kinawezekana ukitenga muda, Imani na subra, wekeza muda wako Meridianbet ukicheza kasino mtandaoni na michezo ya sloti muda wowote unaibuka mshindi. JISAJILI HAPA.
Alikulia katika nyumba ya vyumba vitatu huko Bridgetown na kuwa na baba yake walikuwa wanauza nguo kwenye kibanda barabarani. Utotoni mwake uliathiriwa sana na unywaji pombe na uraibu wa cocaine wa baba yake, ambao ulichangia kwenye ndoa iliyojaa mivutano ya wazazi wake.
Baba yake Rihanna alikuwa akimyanyasa kimwili mke wake, na Rihanna alijaribu kuingilia kati ili kusitisha ugomvi. Usikubali unyanyasike kwa pesa za kukopa au kupewa, cheza kasino mtandaoni uweke heshima yako mtaani kwako.
Akiwa mtoto, Rihanna alifanyiwa vipimo vingi vya CT kwa maumivu makali ya kichwa aliyoyapata, akikumbuka, "Hata madaktari walidhani ilikuwa uvimbe, kwa sababu maumivu yalikuwa makali sana." Kufikia umri wa miaka 14, wazazi wake walikuwa wameachana, na afya yake ilianza kuimarika.
Alikua akiwa anasikiliza muziki wa reggae. Alisoma katika Shule ya Msingi ya Charles F. Broome Memorial na Shule ya Combermere, ambapo alisoma pamoja na wachezaji wa kimataifa wa kriketi Chris Jordan na Carlos Brathwaite.
Akiwa na umri wa miaka 11, Rihanna alikuwa kadeti wa jeshi katika mpango wa kijeshi, ambapo mwimbaji wa Barbados baadaye, Shontelle, alikuwa sargenti wake wa mazoezi. Awali alitaka kuhitimu masomo yake, ingawa aliamua kufuata kazi ya muziki badala ya kuendelea na jeshi. Mipango ya ushindi huanza kichwani mwako, lakini ushindi mkubwa wa Meridianbet unaanzia kwenye mikono yako inapocheza michezo ya sloti na kasino mtandaoni. CHEZA KASINO HAPA.
Katika maisha yake ya muziki, Rihanna alifanikiwa kutoa ngoma kali kama vile Umbrella, Diamonds, We Found Love, Te amo, Don’t Stop the Music nk, licha ya utajiri mkubwa wa fedha na mali Rihanna alikuwa na utajiri wa kupendwa na wanaume wengi, mastaa, wafanyabiashara nk. Tafuta utajiri kwa njia rahisi ya kucheza kasino mtandaoni na michezo ya sloti.
Oradha ya Wanaume Waliowahi Kuwa Wapenzi wa Rihanna.
1. Negus Seal Jun- Sept 2006
2. Jay Z Oct 2006- Apr 2007
3. Omarion: March-May 2007
4. Chris Brown: May 2007-March 2013, wamedumu miaka 4 wakiachana na kurudiana, kipolo hakihitaji moto mwingi.
5. Shia Lebeouf: Aug 2007
6. Josh Harnett: Oct 2007- Jan 2008
7. Drake 2009-2016 wamedumua kwa miaka 7 wakiachana na kurudiana.
8. Wimer Valderrama: Apr-Jun 2009
9. Rashard Lewis: May-Jul 2009
10. Justin Timberlake: Jun-Sept 2009
11. Soulja Boy: Agosti 2009
12. Josh Handerson: Oct 2009
13. Matt Kemp: Nov 2009- Dec 2010
14. Travis Barker: Feb 2011
15. Colin Farrell: Feb-Apr 2011
16. Dudley D’shaughnessy: Sept 2011
17. Ryan Philipe: Dec 2011- Apr 2012
18. Ashton Kutcher: March 2012
19. J.R Smith: May 2012- May 2013
20. Rob Kardashian: Aug 2012
21. Justin Laboy: Apr 2013
22. Leonardo Dicaprio: Jan-March 2015
23. Richard Akiva: Feb 2015
24. Matt Barnes: May 2015
25. Karim Benzema: Jamaa yetu hata hakukaa sana wakashidwana na Rihanna walidumu kwa miezi 3 tu, yaani May-Aug 2015.
26. Lewis Hamilton: Jul-Sept 2015
27. Travis Scott: Sept 2015- Jul 2016
28. Hassan Jameel: Oct 2016-2020, Pesa ya mafuta ilifanya penzi la mwamba kudumu kwa miaka 4, bila hivyo angekuwa kama jamaa yetu Benzema, hahaha Pesa ni heshima cheza kasino mtandaoni uongeze heshima wewe.
29. ASAP Rocky: Novemba 2019- Mpaka sasa, licha ya jamaa kuwa na makossa mengi yanayofanya kufungwa jela lakini bado penzi lao limedumu kwa muda mrefu sana na wamefanikwa kupta watoto wawili wa kiume RZA Athelston Mayers na Riot Rose Mayers.
Hayo ni machache kuhusu msanii huyu maarufu kabisa ulimwenguni, endelea kucheza kasino mtandaoni, michezo ya sloti na ushinde mara nyingi Zaidi.
NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...