Mshindi wa Shindano la Maokoto linaloendeshwa na Kampuni ya bia za Serengeti lite, Serengeti SBL kupitia bia za Serengeti lite, Pilsner, Smir noff Ice, Guinness Smooth na Serengeti Lager Bw. Gracewell D Sewando akipokea hundi ya mfano ya shilingi Laki Tano (500,000) kutoka kwa Vaina James  Meneja wa Airport Bar katika hafla ya kukabidhi zawadi iliyofanyika Airpot Bar Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Chalinze Mkoani Pwani Hadija Mng'ande akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Japhet Mwalisu (kulia) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Traveller Januari 13, 2024.

Meneja mauzo wa Kampuni ya SBL mkoani Mbeya, Karolina Mwamaso( kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Shilingi 500,000 kwa mshindi wa promosheni ya Maokoto inayoemndeshwa hiyo, Patrick Mrema wa jijini Mbeya katika hafla iliyofanyika New City Pub jijini Mbeya.

Mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo mzunguko wa 12 Ramadhani Rajabu(kulia) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Meneja Mauzo wa Serengeti Breweries Limited Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza James Alphaxard, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Mafoil pub.

Tumaini Japhet (kushoto) Mkazi wa kata ya mganza wilayani kasulu akipokea mfano wa hundI ya tsh laki tano kutoka kwa Paul Arnold (kulia)  mwakilishi wa SBL mkoani Kigoma.

Scola Dotto Mshindi wa Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo kutoka mkoani Tanga akipokea mfano wa hundi kutoka kwa mwakilishi wa SBL mapema wikiendi hii katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Tanga.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...