Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Fani ya Useremala kutoka Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA)  Abdallah Mohamed Ali alipotembelea banda la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akisaini kitabu katika banda la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akipokea zawadi kutoka kwa Mwalimu wa Fani ya Useremala kutoka Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA)  Abdallah Mohamed Ali pamoja na kupiga picha ya pamoja mara baada ya kutembelea Banda la Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...