Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Aman Abeid Karume akisoma moja ya kitabu katika Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) alipotembelea banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Aman Abeid Karume akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi Ukaguzi wa Meli kutoka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Kapt. Ghadaf Chambo kuhusu namna ya kusajiliwa kuwa kapteni wa meli alipotembelea banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Aman Abeid Karume akizungumza na watumishi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) alipotembelea banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Aman Abeid Karume akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu meneja Masoko na Uhusiano kwa Umma TASAC, Mariam Mwayela mara baada ya kutembelea Banda la Shirika hilo kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...