
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.


Mandhari ya ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia mti maji mara baada ya ufunguzi wa Hospitali ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...