Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kuweka shada la maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa ya Kalibata wakati wa ziara yake ya Kitaifa Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka mara baada ya kuweka shada la maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa ya Kalibata wakati wa ziara yake ya Kitaifa Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mashuhuri mara baada ya kuweka shada la maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa ya Kalibata wakati wa ziara yake ya Kitaifa Jakarta nchini Indonesia tarehe 25 Januari,2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...