LEO hii siku ya kumaliza wikendi yako inakuja na maokoto kibao kama jana hukufanikiwa kutusua basi leo hii ndio wakati sahihi kwani ligi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Ujerumani, Uingereza na zingine kibao. Weka pesa na usuke mkeka sasa.

Pale Uingereza EPL itaendelea kwa michezo miwili ambapo saa 11:00 jioni Everton watamualika Aston Villa mbaye amekuwa na kiwango kizuri sana msimu huu. Nafasi kubw aya kushinda mechi hii amepewa Unai Emiry na vijana wake akiwa na ODDS 2.40 kwa 2.74. Je nani uondoka kifua mbele?. Beti sasa.

Mechi nyingine ya kuvutia Jumapili ya leo ni ile ya wenyeji Manchester United dhidi ya Tottenham Hot Spurs majira ya saa 1:30 usiku katika dimba la Old Trafford huku United akikumbuka kupoteza kwenye mchezo wa raundi ya kwanza. Mechi hii imepewa ODDS 2.11 kwa 3.04. Jisajili na ubeti.

Pale SERIE A nako hapatapoa leo hii na tutashuhudia Lazio ya Mauricio Sarri ikikiwasha dhidi ya US Lecce ambao wamepewa ODDS 5.29 kushinda mechi hii kwa 1.67. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 pekee. Je Sarri kuendelea kupata ushindi na mechi hii?. Tengeneza mkeka wako na ubashiri hapa.

Lakini mteja ukiwa natengeneza jamvi lako, usisahau kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni na meridianbet kama vile Poker, Aviator, Roulette, na Sloti ambayo kwa dau dogo tuu unaweza kupuna mapene ya kutosha.

Ifikapo saa 2:00 usiku nao Fiorentina watashuka dimbani kumenyana dhidi ya Udinese huku timu zote zikitoka kupoteza mechi zao zilizopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 na mgeni yupo nafasi ya 16. Mara ya mwisho kukutana Fiorentina alishinda. Nani kushinda leo?

Jumapili ya leo itamaliziwa na mechi ya kibabe usiku wa saa 4:45 katia ya mwenyeji AC Milan ya Pioli dhidi ya AS Roma ya Mourinho. Meridianbet wamempa Milan nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 2.22 kwa 3.38. Roma atalipa kisasi leo baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana?. Bashiri na meridianbet.

Pia ligi ya ya Hispania, LALIGA kitawaka leo hii mechi ya mapema kabisa itakuwa saa 10:00 jioni ambapo UD Almeria atakiwasha dhidi ya Girona ambaye yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Na meridianbet wamempa mgeni nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwa ODDS 1.61 kwa 4.70. Bashiri mechi hii.

Mechi nyingine ni kati ya Cadiz dhidi ya Valencia ambapo mwenyeji anapambana atoke nafasi ya chini aliyepo. 2.94 kwa 2.60 ndio ODDS za mechi hii. Je nani kuondoka na pointi tatu leo hii?. Tengeneza mkeka wako sasa.

BUNDESLIGA baada ya kupigwa mechi kadhaa jana, leo hii kuna zingine za kukupa pesa ni wewe uchague uweke machaguo gani, Borussia Monchengladbach atakiwasha dhidi ya VFB Stuttgart ambaye ni wa 3 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji ni wa 12, na ODDS zao ni 3.77 kwa 1.84. Bashiri hapa.

Bochum atakuwa mwenyeji wa Werder Bremen katika dimba la Vonovia Ruhrstadion huku timu hizo zikiwa zinalingana pointi yani 16. Mwenyeji kushinda mchezo huu ana ODDS 2.21 kwa 2.99. Beti sasa.

Vilevile kule Ufaransa ligi yao pendwa LIGUE 1 itaendelea saa 9:00 jioni Lille anamkaribisha Lorient ambaye yupo chini ya msimamo wa ligi hiyo, huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 7. 1.28 na 9.80 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.

Nantes naye atakipiga dhidi ya Clermont Foot ambaye ni kibonde wa ligi akiwa amepewa ODDS 4.01 na mwenyeji amepewa 1.93. Je kibonde anaweza shinda mbele ya mtu wa 13? Suka mkeka sasa.

Majira ya saa 1:05 usiku Le Havre atakuwa akijitafuta mbele ya Olympique Lyon ambaye ameshinda mechi tatu mfululizo kwenye ligi hadi sasa. Lyon amepewa nafasi kubwa na Meridianbet kushinda mechi hii akiwa na ODDS 2.29 na mgeni akipewa 3.14. Nani ni nani leo?

Ligi hiyo itahitimishwa na mechi ya kukata na shoka kati ya wenyeji RC Lens dhidi ya vinara PSG ambao wana nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatu wakiwa na ODDS 1.86 huku mwenyeji akiwa na 3.72. Mara ya mwisho kukutana Paris waliondoka na ubabe. Je beti yako unaipeleka wapi? Ingia na ubeti sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...