Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba amewasili jijini Jakarta, nchini Indonesia tayari kwa maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan itakayofanyika kuanzia tarehe 24-26 Januari, 2024
Katika Uwanja wa Ndege wa Jakarta, Mhe. Waziri amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia Mhe. Macocha Tembele
.jpeg)


Katika Uwanja wa Ndege wa Jakarta, Mhe. Waziri amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia Mhe. Macocha Tembele
.jpeg)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...