HABARI mteja wa meridianbet ikiwa leo hii ni siku mpya kabisa ya Jumamosi ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea ambapo wewe una nafasi ya kujipigia maokoto hayo kwa kubashiri mechi hizo mapema kabisa.

Mapema kabisa hii leo pale EPL katika dimba la Goodison Park Everton watakiwasha dhidi ya Tottenham Spurs. The Toffees wametoka kutoa sare huku vijana wa Ange wakipata ushindi. Spurs kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.14 kwa 3.09. Je nani kuondoka na ushindi. Bashiri hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Newcastle United dhidi ya Luton Town ambao wametoka kutoa dozi nzito mechi yao iliyopita. Howe kushinda mechi hii amepewa ODDS 1.40 kwa 4.21 huku mara ya mwisho walipoonana, Luton alishinda. Je safari hii kisasi kitalipwa. Ingia meridianbet na ubeti sasa.

Sio mechi za mpira wa miguu tuu, bali hata michezo ya Kasino ya Mtandaoni pia ipo hapa meridianbet kama vile Aviator, Keno, Roulette na mingine kibao. Ingia na ucheze sasa.

Naye Brighton chini ya kocha Roberto De Zerbi, baada ya kupigika za kutosha mchezo uliopita, leo hii atakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya Crystal Palace huku meridianbet wakimpa mwenyeji nafasi ya kukusanya pointi zote kwa ODDS 1.81 kwa 4.21. Jisaji hapa.

Saa 2:30 Sheffield United wakiwa ndio vibonde wa ligi hadi sasa watawaleta nyumbani Aston Villa ambao walipoteza mechi iliyopita wakiwa nyumbani. 4.41 kwa 1.71 ndio ODDS za mechi hii. Beti kijanja hapa.

Pia LALIGA itatimua vumbi saa 10:00 Valencia ambaye yupo nafasi ya 8 atakipiga dhidi ya UD Almeria ambaye yupo nafasi ya 20 katika msimamo akiwa hajashinda mechi yoyote hadi sasa. Mechi hii amepewa ODDS 1.71 kwa 4.90. Beti hapa sasa.

Huku Xavi Hernandez na Barcelona yake baada ya kupata ushindi mwembamba mechi iliyopita, leo hii watakuwa ugenini dhidi ya Deportivo Alaves ambao wamepewa ODDS 3.87 kwa 1.90 kushinda mechi hii. Mechi ya mzunguko wa kwanza Barca alishinda. Suka jamvi lako sasa.

Girona ambao wamekuwa na mwenendo mzuri msimu huu atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Real Sociedad ambao wapo nafasi ya sita kwenye msimamo. Mara ya mwisho kukutana walitoka sare. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet beti sasa.

Ligi ya Italia, SERIE A itaendelea kwa michezo kadhaa ambapo saa 11:00 Udinese baada ya kupoteza mechi iliyopita, atacheza dhidi ya AC Monza ambaye alishinda mechi ilitopita. Mechi hii imepewa ODDS 2.20 kwa 3.28. Ingia meridianbet na ubeti.

AC Milan atakuwa mgeni wa Frosinone majira ya saa 2:00 usiku, ikumbukwe kuwa Pioli na vijana wake wametoa sare mechi yao iliyopita. Na kushind amechi hii wamepewa ODDS 1.65 kwa 4.80. Tengeneza jamvi lako hapa sasa.

Bologna atakipiga dhidi ya Sassuolo Calcio FC ambaye yupo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji akiwa nafasi ya 8. Mechi hii ina ODDS 1.67 kwa 4.90 ingia na ubashiri sasa.

Ligi yenye magoli mengi, BUNDESLIGA itatimua vumbi pia ambapo VFL Bochum atamkaribisha FC Augsburg ambaye alipoteza mchezo wake wa nyumbani. Tofauti ya pointi kati yao ni pointi 1 pekee. Mechi hii ina ODDS 2.22 kwa 3.09.

Mechi nyingine ni kati ya vinara wa ligi hiyo Bayer Leverkusen chini ya kocha mkuu Alonso ambao watakuwa ugenini dhidi ya SV Darmstadt ambao wapo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi. Leverkusen anahitaji ushindi huu azidi kujikita kileleni. Beti sasa.

Huku muda huo huo SC Freiburg atakipiga dhidi ya VFB Stuttgart ambao wana ODDS 2.16 kwa 3.14. Na mara ya mwisho kukutana VFB alishinda. Mwenyeji yupo nafasi ya 7 na mgeni wake yupo nafasi ya 3 kwenye msimamo. Nani kuondoka na pointi tatu leo?. Tengeneza mkeka mapema.

Bayern Munich atacheza dhidi ya Borussia Monchengladbach ambaye Meridianbet wamempa ODDS 12.74 kushinda mechi hii kwa 1.16. Mara ya mwisho kukutana, Thomas Tuchel na vijana wake wlaishinda. Je leo pale Allianz Arena nani kuibuka mbabe?. Beti hapa.

Ligi ya Ufaransa kule LIGUE 1, kutakuwa na mechi mbili kwa leo ambapo saa 1:00 Rennes atakuwa akizichapa dhidi ya Montpellier ambaye ni wa 12 kwenye msimamo huku mwenyeji wake akiwa wa 9. Mara ya mwisho wlaitoa suluhu. Je leo hii kwa ODDS hii ya 1.54 na 5.68. Bashiri sasa.

Naye FC Nantes atakipiga majira ya saa 5:00 dhidi ya RC Lens ambaye ana ODDS 2.27 kwa 3.14. Nani kuondoka na pointi tatu katika dimba la Beaujoire?. Meridianbet wnaa machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...