JE unatambua kwamba kuna Milioni 13 TZS zipo Meridianbet kasino ya mtandaoni hivi sasa zinakusubiri? Na unaweza kuzipata kupitia simu yako yam konini ukitembelea uwanja wa michezo ya kasino ya mtandaoni. Masharti uwe umejisajili na Meridianbet ili uweze kushiriki promosheni hii.

Ni rahisi sana kupata mgao wako kutoka kwenye hii promosheni, ni kama vile kunywa maji au soda ya baridi kipindi hiki cha joto kali unakuwa unaburudika, ndivyo unavyokuwa unapocheza michezo ya kasino iliyotenegenzwa na Expanse Studios kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni.

Wakati wa promosheni, wachezaji watashindana kupata idadi kubwa ya mizunguko iliyochezwa kwenye michezo ya Expanse.

Safari hii ina thamani ya 13,000,000 TSH, chukua hatua na kuwa mmoja ya wachezaji 45 bora watakaoshiriki kwenye droo ya zawadi kabambe.

Nafasi ya 1 - 5,000,000 TSH

Nafasi ya 2 - 2,500,000 TSH

Nafasi ya 3 - 1,300,000 TSH

Nafasi ya 4 na 5 - 650,000 TSH kila mmoja

Nafasi ya 6 mpaka 10 - 270,000 TSH Kila mmoja

Nafasi ya 11 mpaka 20 - 50,000 TSH Kila mmoja

Nafasi ya 21 mpaka 50 - 25,000 TSH Kila mmoja

Pesa zilizolipwa zitapatikana mara moja kwa mchezaji kwa kutoa au kucheza ofa nzima kwenye tovuti.
Unajiuliza ni michezo gani utacheza ili kushinda promosheni hii, tembelea Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kisha chagua mchezo wowote uliotengenezwa na Expanse mfano Wild Ice Fruits, Wild White Whale au Wild Corrida nk ukianza kucheza utaona maajabu yake.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...