MAELEKEZO ya kushinda kitita cha kutosha kupitia michuano ya Uefa Conference League hatua ya 32 bora usiku yanapatikana sehemu moja tu na sio kwingine ni kwa mabingwa na wakongwe wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet.

Unachotakiwa kufanya wewe mteja wa Meridianbet ni kusuka mkeka wako vizuri wa michezo ya Uefa Conference League, Kwani pale kwenye tovuti yao wamekuwekea ODDS KUBWA na bomba ambazo zitakuwezesha kushinda kitita kirahisi kabisa.

Real Betis leo watakua na kibarua ugenini dhidi ya klabu ya Dinamo Zagreb ya nchini Croatia mchezo huu utakua mgumu zaidi kwa Real Betis, Kwani leo wapo ugenini na walipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Dinamo Zagreb wakiwa nyumbani.

Klabu ya Eintracht Frankfurt leo itashuka dimbani katika mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya St. Union Gilloise, Mchezo wa leo utaanza upya kwani mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya mabao mawili hivo mchezo wa leo unaenda kuanza upya na kua wenye ushindani mkubwa.

Mchezo mwingine utakaopigwa leo kwenye michuano ya Uefa Conference League hatua ya 32 bora ni kati ya Ferencvaros dhidi ya Olympiacos, Baada ya mchezo wa kwanza Olympiacos kupata matokeo ya ushindi hivo mchezo wa leo ni wazi Ferencvaros na watapambana kupata matokeo ya ushindi katika dimba lao la nyumbani.

Klabu ya Bodo/Glimt leo itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Ajax Amsterdam ili kutafuta mshindi ambaye ataenda hatua ya 16 bora ya michuano ya Uefa Conference League, Huku mchezo huu ukitarajiwa kua mkali kwani kila timu ina nafasi kwakua mchezo wa kwanza ulimalzika kwa sare ya mabao mawili kwa mawili.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya Uefa Conference League kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...