Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna. Pamoja na mambo Mengine Mheshimiwa Majaliwa amepongeza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Benki hiyo kwa hesabu za Mwaka 2023.
Kwa upande wake Bi.Zaipuna ameshukuru na kupongeza ushirikiano wanaoupata kutoka kwa Serikali pamoja na mazingira bora ya utendaji ya biashara ambayo yamechangia ukuaji wa benki hiyo.

Kwa upande wake Bi.Zaipuna ameshukuru na kupongeza ushirikiano wanaoupata kutoka kwa Serikali pamoja na mazingira bora ya utendaji ya biashara ambayo yamechangia ukuaji wa benki hiyo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...