
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage G. Geingob. Rais Samia alisaini Kitabu hicho katika Ofisi za Ubalozi huo Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage G. Geingob Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Namibia mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika ofisi za Ubalozi huo Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...