



Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya akiwa kwenye hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Januari, 2024.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Mhe. George Huruma Mkuchika wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kushuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P tarehe 03 Februari, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...