Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ziara ya Rais wa Poland Andrzej Duda tarehe 09 Februari, 2024
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Poland Andrzej Duda pamoja na ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Rais wa Poland Andrzej Duda mara baada ya kuzungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Rais wa Poland Andrzej Duda akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ziara yake nchini Tanzania tarehe 09 Februari, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Baadhi ya Waandishi wa habari kutoka sehemu mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Marais Wastaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein na Amani Abeid Karume pamoja na Spika Mstaafu Anne Makinda wakiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...