Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo kuanzia kesho kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (98) aliyefariki dunia leo katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya Saratani ya mapafu.
Rais samia pia ametangaza kuwa mazishi yatafanyika Zanzibar siku ya JumamosiMichuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...