Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF), Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka kabla ya kuanza kwa mkutano wao katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni. Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi Judica Omary.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF), Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika mkutano na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka na ujumbe wake katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni. Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi Judica Omary.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF), Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika Picha ya Pamoja na na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka na ujumbe wake katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF), Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipokea Ripoti ya hali ya Lishe Pamoja na Kalenda toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka baada ya mkutano wao katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni. Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi Judica Omary.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka akimkabidhi Ripoti ya Lishe Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF) , Bi. Vanessa Anyoti, baada ya mkutano katika makao makuu ya JMKF Masaki jijini Dar Jumanne jioni.
Picha na JMKF
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...