Mambo vipi ndugu mteja wa meridianbet?. Je unajua kuwa leo hii ni siku nzuri kwako kujipigia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi zako za uhakika ndani za meridianbet. Suka jamvi lako sasa.

Sasa tuanze kuchakata ligi ya Uhispania ambapo kutakuwa na mchezo mmoja ambao ni kati ya mwenyeji Real Sociedad dhidi ya Villarreal katika dimba la Real Arena majira ya saa 5:00 usiku.

Sociedad yupo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mchezo wake uliopita, huku mgeni akitoa sare mchezo wake uliopita na kumfanya ashike nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi.
Mara za mwisho kuonana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi kwa ODDS yake za 4.60 kwa 1.78?. Suka jamvi lako na ubashiri sasa mechi hii ya kibabe.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine itakuwa kule Italia ligi za SERIE A ambayo itawapamabanisha Bologna dhidi ya Hellas Verona ambao wanapumulia mashine kwenye msimamo wa ligi kwani wapo nafasi ya 18 hadi sasa. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa za kuondoka na pointi tatu kwa ODDS 1.52 kwa 6.46. Mechi za mwisho walitoa suluhu. Je leo hii nani ni nani?. Jisajili hapa.

BUNDESLIGA bado inazidi kuwa ya moto sana na Ijumaa ya leo kinara wa ligi hiyo ambaye hajapoteza mchezo wowote, Bayer Leverkusen chini ya kocha mkuu watakuwa wenyeji wa Mainz ambao wanahali mbaya sana. Meridianbet wamempa mwenyeji ushindi kwa ODDS 1.22 kwa 11.76. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tengeneza jamvi lako sasa.

Lakini pia LIGUE 1 kule Ufaransa kutakuwa na mchezo wa kivumbi na jasho ambapo Lyon atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Metz ambao wapo chini kwenye msimamo wa ligi. 3.92 ndio ODDS za mwenyeji kushinda huku mgeni akipewa 1.93. Bashiri mechi hii na meridianbet sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...