NDANI ya Meridianbet leo hii kutakuwa na mechi mbalimbali ambazo zinaendelea na ambazo tayari zina ODDS KUBWA za kukupatia wewe mkwanja wa maana endapo utachagua machaguo mazuri.

Mechi za Kombe la FA leo hii kwenye Raundi ya 4 ni Southampton dhidi ya Watford FC ambapo timu hizi zote zinatokea ligi daraja la kwanza, yani Champioship huku meridianbet wakimpa Soton nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.54 kwa 5.09. Mechi hii itapigwa katika dimba la St Mary’s. Bashiri sasa.

Mechi nyingine ya kukupatia maokoto ni hii ambayo inayowakutanisha Plymouth Argyle dhidi ya Leeds United huku mechi ya kwanza walipokutana walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Leeds kushinda amepewa ODDS 1.60 kwa 4.60 kwa mwenyeji. Kwenye Championship mwenyeji yupo nafasi ya 15 na mgeni yupo nafasi ya 3. Nani kuibuka kidedea leo?. Beti hapa sasa.

Vilevile, meridianbet wanakusisitiza kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman na mingine kibao ya Sloti ambayo inatolewa hapa. Ingia na ucheze sasa.

Nao Coventry City watakiwasha dhidi ya Sheffield Wednesday ambao wamepewa ODDS 5.48 kwa 1.52 kushinda mechi hii. Mechi ya kwanza walitoa sare huku timu zote zikitoka kuchapika kwenye mechi zao za ligi zilizopita. Je leo hii nani atasonga mbele. Jisajili sasa.

Pia Copa del Rey hatua ya nusu fainali leo hii kutakuwa na mchezo mmoja tuu ambao utawakutanisha kati ya Mallorca dhidi ya Real Sociedad ambapo mechi ya mwisho kuonana, Sociedad alishinda. Kwenye Laliga mwenyeji yupo nafasi ya 17 na mgeni wake yupo nafasi ya 6. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Mechi hii imepewa ODDS 3.22 kwa 2.55. Ingia meridianbet na ubashiri hapa.

Header Image:

FACEBOOK/INSTAGRAM

Text:

Jumanne ya leo meridianbet wanakwambia usikae kizembe kuna mechi za Kombe la FA na Copa del Rey. Weka pesa na uanze kusuka jamvi lako la uhahika. Hakika meridianbet ndio ndoto ya kuwa Milionea. Kwa wale wa USSD na vitochi pia, *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...