HATIMAYE wikendi imefika tena ambapo kwa wale ambao hubashiri hii ni siku nzuri sana kwao kwani mechi mbalimbali kutoka katika ligi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na kwingine. Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Tukianza na ligi pendwa Duniani EPL mapema kabisa Manchester United atakuwa Old Trafford majira ya saa 9:30 mchana kuzichabanga dhidi ya Everton ya Sean Dyche ambao wapo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho walipokutana United alishinda. Je leo hii kwa ODDS ya 1.80 kwa 4.11 nani atashinda. Beti hapa.

Majira ya saa 12:00 jioni Wolverhampton Wandereres atamualika Fulham FC aktika dimba la Molineux kusaka pointi tatu huku tofauti ya alama kati yao ikiwa ni tatu pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni yupo nafasi ya 12 huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.43 kwa 2.79. Ingia na ubashiri mechi hii.

Nao Crystal Palace baada ya kupoteza mchezo wao uliopita, leo hii watakipiga dhidi ya Luton Town ambao hawana hali nzuri kwenye msimamo wa ligi hadi sasa wakiwa nafasi ya 18. Timu zote zimepoteza mechi zao zilizopita, lakini leo hii mshindi atapatikana kule meridianbet. 1.75 kwa 4.41 ndio ODDS za mechi hii. Suka mkeka wako sasa.

Arsenal ya Mikel Arteta ikiwa inaendelea kutoa dozi nzito, leo hii majira ya saa 2:30 usiku itakuwa pale Emirates kusaka pointi tatu za kumfanya aongoze ligi dhidi ya Brentford ya Thomas Frank ambao walitoa sare mchezo ulipita. The Gunners kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.20 kwa 11.76. Je Nyuki wanaweza kumzuia mwenyeji kukaa kileleni?. Tengeneza jamvi lako hapa.

Vilevile cheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Na sasa tunaachana na ligi ya Malkia, tunaenda kule Hispania LALIGA, ambapo Valencia atamualika Getafe CF baada ya kuambulia pointi moja mechi iliyopita. Vilevile mgeni alipata sare mchezo uliopita huku leo hii meridianbet wakimpa mwenyeji ODDS 1.96 kwa 4.31 kushinda mechi hii. Je mwenyeji atalipa kisasi?. Suka mkeka wako na mechi hii.

Diego Simeone na vijana wake Atletico Madrid watakuwa ugenini dhidi ya Cadiz CF majira ya saa 12:15 jioni baada ya kushinda mechi iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 18 na Atletico yupo nafasi ya 4 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 36. Jisajili hapa na ubeti.

Mechi ya mwisho Hispania leo hii ni hii ya Girona FC dhidi ya CA Osasuna. Girona akishinda leo hii atapanda hadi nafasi ya 2 wakai mgeni wake atapanda hadi nafasi ya 8 hivyo ushindi ni muhimu kwa kila mtu. 1.59 amepewa mwenyeji na 5.09 kapewa mgeni. Mara ya mwisho mwenyeji alishinda. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi? Suka mkeka wako hapa.

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1, pia inatarajiwa kuwaka moto kwa mechi mbili pekee ambapo majira ya saa 1:00 usiku FC Lorient atakuwa mwenyeji wa Olympique Lyon ambaye alipoteza mchezo wake uliopita. Mara ya mwisho walipokutana walitoshana nguvu. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Beti sasa.

Mechi nyingine ni hii hapa ya RC Lens dhidi ya Stade Brest amabye amekuwa mkali sana msimu huu akishika nafasi ya pili. Lens yupo nafasi ya 6 huku meridianbet wamempa pia nafasi ya kuchukua pointi tatu kwa ODDS 2.07 kwa 3.57. Tofauti ya pointi kati yao ni 7 pekee. Mara ya mwisho mgeni alishinda. Leo atashinda nani?. Bashiri na meridianbet mechi hii.

Ligi nyingine ambayo leo ina nafasi ya kukupa mkwanja leo hii ni SERIE A ambapo Sassuolo Calcio atakipiga dhidi ya Frosinone Calcio. Mwenyeji ana ODDS 2.20 kwa 3.04. Mwenyeji alipoteza mechi iliyopita na mgeni akatoa sare. Leo nani kuondoka na pointi tatu muhimu?. Tengeneza jamvi lako hapa.

Saa 2:00 usiku Bologna atakipiga dhidi ya Inter Milan ya Inzaghi ambao ndio vinara wa ligi hiyo hadi sasa. Mwenyeji yupo nafasi ya 4 ambapo mechi hii imepewa ODDS za kushiba yaani ni 3.52 kwa 2.09, huku mara ya mwisho walitoa sare. Je Inzagi na vijana wake watapata ushindi leo?. Bashiri kijanja hapa.

Pia ligi kuuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA kama kawaida kitawaka vilivyo bingwa mtetezi Bayern Munich ambaye yupo nafasi ya pili atakuwa pale Allianz Arena kukipiga dhidi ya FSV Mainz ambao wapo nafasi ya 17. Mechi ya kwanza Thomas Tuchel na vijana wake walishinda. Je leo hii wanaweza kushinda pia?. Beti sasa.

Vilevile RB Leipzig atakuwa mwenyeji wa SV Darmstadt 98 ambaye alipoteza mchezo uliopita. Wakati mwenyeji wake alishinda. 1.13 kwa 17.64 ndio ODDS za mechi hii. Je nani kuibuka na ushindi leo hii pale Red Bull Arena?

Nao FC Augsburg atakiwasha dhidi ya FC Heidenheim ambaye alipoteza mchezo uliopita. Ikumbukwe kuwa mwenyeji ametoka kutoa kipigo kizito mchezo uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee. 1.67 kwa 4.60 ndio ODDS ambazo zimepewa mechi hii. Ingia na ubashiri kijanja hapa.

Huku saa 2:30 usiku Werder Bremen atamenyana dhidi ya Borussia Dortmund ambao wapo nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi, huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 8. Tofauti ya pointi ni 14 pekee na mara ya mwisho Borussia aliondoka na ushindi mwembamba. Je leo hii nani ni nani?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...